Zum Hauptinhalt springen Zur Suche springen Zur Hauptnavigation springen
Beschreibung
Kifo kaja duniani. Akikuchekea umekwisha … Akikusalimu umekwisha … Hana mdhaha …
Lakini yeye anataka watu wakubwa zaidi. Anataka kuifanya Afrika nzima iangue kilio na maombolezo amabayo hayajapata kutokea duniani. Na anataka hilo litokee siku moja, saa moja… "Bendera zote duniani zipepee nusu mlingoti," anasema akichekelea. "Sijawahi kushindwa …" Jasho linawatoka watu mashuhuri: Damu inamwagika kama mchezo. Inspekta kombaro machozi yanamtoka. Joram Kiango kaduwaa.

Details
Erscheinungsjahr: 1984
Genre: Importe, Krimis & Thriller
Rubrik: Belletristik
Medium: Taschenbuch
ISBN-13: 9789966469298
ISBN-10: 996646929X
Sprache: Swahili
Einband: Kartoniert / Broschiert
Autor: Mtobwa, Ben
Hersteller: African Books Collective
Verantwortliche Person für die EU: Libri GmbH, Europaallee 1, D-36244 Bad Hersfeld, gpsr@libri.de
Maße: 178 x 127 x 7 mm
Von/Mit: Ben Mtobwa
Erscheinungsdatum: 02.05.1984
Gewicht: 0,138 kg
Artikel-ID: 118544047