Dekorationsartikel gehören nicht zum Leistungsumfang.
Peponi
Taschenbuch von Abdulrazak Gurnah
Sprache: Swahili

27,10 €*

inkl. MwSt.

Versandkostenfrei per Post / DHL

Lieferzeit 4-7 Werktage

Kategorien:
Beschreibung
Swahili translation of the Nobel-prize winning author's 1994 novel Paradise.

¿Mzaliwa wa Afrika ya Mashariki, Yusuf anaondoka kwao kwa ghafla akiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Haimjii hata kwa sekunde moja, kwamba atakuwa mbali na wazazi wake kwa muda mrefu, na wala hafikirii kuuliza atarudi lini au kwa nini safari iliandaliwa kwa ghafla kiasi kile. Yusuf anaamini kuwa anamsindikiza Ami Aziz lakini ukweli ni kwamba 'ami' yake ni Mfanyabiashara, tena tajiri mkubwa, na Yusuf amewekwa rehani ili kulipia madeni ya baba yake.
Yusuf anajikuta anasafiri katika miji na vitongoji vingi vingine ambako anakutana na watu wa kila namna. Anabalehe na kukua kwenye dunia inayobadilika kwa kasi kutokana na kuingia kwa ukoloni na udhalimu wake na jamii kuharibika kwa kuvurugwa kwa utamaduni wake.

Hii ni tafsiri ya kwanza kwa riwaya za Abdulrazak Gurnah katika lugha ya Kiafrika.

Abdulrazak Gurnah ni mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi ya mwaka 2021. Ameandika riwaya kumi ikiwemo hii ya paradise. Gurnah ni Profesa wa Masomo ya Kiingereza na Fasihi za Kikoloni katika Chuo Kikuu cha Kent.
Dkt. Ida Hadjivayanis ni Mhadhiri Mwandamizi wa Masomo ya Kiswahili SOAS, Chuo kikuu cha London. Ametafsiri riwaya kadhaa kwa Kiswahili na Kiingereza.

Details
Erscheinungsjahr: 2022
Genre: Science Fiction & Fantasy
Rubrik: Belletristik
Medium: Taschenbuch
Seiten: 262
ISBN-13: 9789987449866
ISBN-10: 9987449867
Sprache: Swahili
Ausstattung / Beilage: Paperback
Einband: Kartoniert / Broschiert
Autor: Gurnah, Abdulrazak
Hersteller: Mkuki Na Nyota Publishers
Maße: 198 x 129 x 16 mm
Von/Mit: Abdulrazak Gurnah
Erscheinungsdatum: 25.10.2022
Gewicht: 0,316 kg
preigu-id: 126749789
Details
Erscheinungsjahr: 2022
Genre: Science Fiction & Fantasy
Rubrik: Belletristik
Medium: Taschenbuch
Seiten: 262
ISBN-13: 9789987449866
ISBN-10: 9987449867
Sprache: Swahili
Ausstattung / Beilage: Paperback
Einband: Kartoniert / Broschiert
Autor: Gurnah, Abdulrazak
Hersteller: Mkuki Na Nyota Publishers
Maße: 198 x 129 x 16 mm
Von/Mit: Abdulrazak Gurnah
Erscheinungsdatum: 25.10.2022
Gewicht: 0,316 kg
preigu-id: 126749789
Warnhinweis