Zum Hauptinhalt springen Zur Suche springen Zur Hauptnavigation springen
Beschreibung
Riwaya ya Mungu Hakopeshwi inaelezea maisha ya familia moja ya Unguja iliyoingia katika mitafaruku na mikasa mingi. Kila kitu huwa na chanzo na khatima; basi ni nini chanzo cha mitafaruku hiyo na khatima yake ilikuwaje? Simulizi ni juu ya baba, Bw. Ahmed, mwenye hasira kali zisizo na mipaka, aliyeongoza familia yake kwa utashi wa nafsi yake, bila kujali hisia za mkewe wala wanawe. Kumbe moyoni mwake alihifadhi siri, na hiyo siri ndiyo iliyomfanya Bw. Ahmed kuwa mkali bila kiasi, ikimsukuma azuie kurejea kwa yale yaliyomfika zamani. Lakini kivuli cha historia ya maisha yake ya nyuma hakikuacha kumuandama. Riwaya hii i meandikwa kwa lugha nzuri na fasaha, kwa ufundi wa msanii makini na mwelewa wa maisha ya jamii za Kizanzibari na za mwambao kwa jumla.

Über den Autor
ZAINAB ALWI BAHAROON alizaliwa Mji Mkongwe, Zanzibar. Licha ya umri wake anaonesha katika riwaya hii dalili zote za kipaji cha uandishi wa riwaya, na kuwa kazi zake zitakuja kushamiri na kumpandisha kwenye jukwaa la waandishi [...] ni riwaya yake ya mwanzo.
Details
Erscheinungsjahr: 2017
Genre: Importe, Romane & Erzählungen
Rubrik: Belletristik
Medium: Taschenbuch
ISBN-13: 9789987753932
ISBN-10: 9987753930
Sprache: Swahili
Einband: Kartoniert / Broschiert
Autor: Baharoon, Zainab Alwi
Hersteller: African Books Collective
Verantwortliche Person für die EU: Libri GmbH, Europaallee 1, D-36244 Bad Hersfeld, gpsr@libri.de
Maße: 198 x 129 x 15 mm
Von/Mit: Zainab Alwi Baharoon
Erscheinungsdatum: 20.12.2017
Gewicht: 0,291 kg
Artikel-ID: 120048410

Ähnliche Produkte

slide 9 to 13